agano
Biblica® Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu 1 Samweli 5 1 Samweli < 5 > 5 Sanduku la Agano huko Ashdodi na Ekroni 1 Baada ya Wafilisti kuteka Sanduku la…
Biblica® Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu 1 Samweli 5 1 Samweli 5 Sanduku la Agano huko Ashdodi na Ekroni 1 Baada ya Wafilisti kuteka Sanduku la Mungu, walilichukua kutoka Ebenezeri hadi Ashdodi. 2 Kisha wakaliingiza lile Sanduku ndani ya hekalu la Dagoni na kuliweka kando ya huyo Dagoni. 3 Watu wa Ashdodi walipoamka asubuhi na mapema kesho yake, kumbe, wakamkuta Dagoni ameanguka…





